Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Ng’wasi Kamani, amezitaka wilaya zote nchini kuiga mfano wa Wilaya ya Mufindi, Mkoa wa Iringa, kwa kuandaa na kuboresha maonyesho ya biashara na uwekezaji ili kuchochea ukuaji wa uchumi, kuvutia wawekezaji na kuongeza ajira kwa wananchi.

Back to Home
Kamani: Wilaya zote ziige mfano wa Mufindi
Mwananchi 31 minutes 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
