Mpango wa Serikali wa kupanda miti bilioni mbili nchini kupitia Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 umepewa msukumo mpya kupitia shule zinazotekeleza programu ya Eco School, zinazotumia mazingira kufundisha wanafunzi uzalishaji mali, uhifadhi wa mazingira na mbinu za kujitegemea kiuchumi.

Back to Home
Kampeni ya upandaji miti yashika kasi Morogoro, yaanzia shuleni
Mwananchi about 5 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
