Kampuni 15 za teknolojia duniani zimeungana na vyombo vya sheria kutoka nchi mbalimbali katika operesheni ya kusambaratisha mitandao ya ulaghai wa mtandaoni inayofanya kazi Afrika Magharibi na kuwalenga watu katika mataifa tofauti.

Back to Home
Kampuni 15 za teknolojia zasambaratisha mitandao ya ulaghai Afrika Magharibi
Mwananchi 10 minutes 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
