Loading trending stories…
Kapinga atoa maelekezo mapya Sido, TBS kuinua wafayabiashara
Back to Home

Kapinga atoa maelekezo mapya Sido, TBS kuinua wafayabiashara

Mwananchi about 3 hours 1 mins read
Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga ameliagiza Shirika la Viwanda Vidogo (Sido) kuendelea kuwafuatilia wajasiriamali hata baada ya kuwapatia mafunzo na kuwaingiza sokoni, akisisitiza kuwa uwezeshaji wao haupaswi kuishia kwenye mafunzo pekee.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.