Naibu Waziri wa Ujenzi, Godfrey Kasekenya amewaagiza mameneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) mikoa yote nchini kuhakikisha wanaweka wakandarasi wa dharura katika maeneo yao ili kukabiliana na athari za mvua za El Nino zinazoweza kuathiri barabara kuu.

Back to Home
Kasekenya aagiza Tanroads kuweka wakandarasi wa dharura mvua za El Nino
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
