Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi amewataka madereva wa mabasi kurejea kazini na kuendelea na shughuli zao kwa amani, huku akiliagiza Jeshi la Polisi kusitisha kwa muda mfumo wa kukata pointi kwenye leseni za madereva ili kupisha tathmini ya kina.

Back to Home
Katambi asitisha kukata pointi, awataka madereva kurejea kazini
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
