Rais wa Russia, Vladimir Putin, amekubaliana na Rais wa Kenya, William Ruto, kusitisha uandikishaji wa raia wa Kenya katika jeshi la Russia, huku serikali ya Nairobi ikianza kufuatilia fidia kwa walioathirika na kurejeshwa salama kwa raia wake waliokwenda nchini humo kwa ajili ya kazi za kijeshi.

Back to Home
Kenya, Russia wakubaliana kusitisha uandikishaji Wakenya jeshini
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
