Shahidi wa 62 wa upande wa mashtaka katika kesi ya kuendesha biashara ya upatu inayomkabili Mkurugenzi wa Kampuni ya Vanilla International Ltd, Simon Mkondya, maarufu Dk Manguruwe, ameeleza mahakamani jinsi alivyodai kutapeliwa Sh3 milioni kupitia uwekezaji wa kilimo cha vitunguu saumu.

Back to Home
Kesi ya Dk Manguruwe: Shahidi adai kutapeliwa Sh3 milioni kwa kilimo cha vitunguu swaumu
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
