Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imezindua mwongozo wa utekelezaji wa programu ya elimu ya fedha kwa waelimishaji wenye ujuzi maalumu (CFEs), ukiwa na lengo la kuimarisha usahihi wa taarifa, maadili ya kitaaluma na kulinda wananchi dhidi ya upotoshaji kuhusu huduma za kifedha na uwekezaji.

Back to Home
Kibano watoa huduma za elimu ya fedha mtandaoni
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
