Mahakama ya Rufani imethibitisha hukumu ya kifungo cha maisha jela kwa Razaki Sadiki, aliyepatikana na hatia ya kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka mitatu, ikisema ushahidi uliobaki baada ya kuondoa vielelezo viwili ulitosha kuthibitisha kosa hilo.

Back to Home
Kifungo cha maisha jela chamng’ang’ania aliyemlawiti mtoto wa miaka mitatu
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
