Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenan Kihongosi, ameitaka Serikali kutafuta namna ya kupanua barabara ya Mbagala–Mkuranga, hususan kipande cha Rangi Tatu hadi Kongowe na Mzinga, ili kupunguza msongamano wa magari.

Back to Home
Kihongosi ataka barabara ya Mbagala–Mkuranga iwe njia nne
Mwananchi 31 minutes 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
