Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amewaonya vijana dhidi ya kutumiwa na baadhi ya viongozi wa kisiasa kufanya vurugu na kuharibu mali za umma, akiwataka badala yake kujikita katika kutafuta fursa za kiuchumi na kujenga maisha yao.

Back to Home
Kihongosi: Vijana acheni kutumiwa kama mbuzi wa kafara
Mwananchi about 3 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
