Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, ameonekana hadharani baada ya kusambaa kwa uvumi kuhusu hali yake ya kiafya, uliodai kuwa amepata tatizo kubwa la kiafya, kupoteza fahamu na kupelekwa hospitalini nchini China kwa matibabu ya dharura.

Back to Home
Kim Jong Un ajitokeza hadharani baada ya uvumi wa kupoteza fahamu
Mwananchi 10 minutes 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
