Mkazi wa Kijiji cha Kiraracha, Kata ya Marangu Magharibi, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, John Tety (48), amefariki dunia baada ya kujinyonga ndani ya nyumba aliyokuwa akiishi, huku chanzo cha tukio hilo kikidaiwa kuwa ni msongo wa mawazo uliotokana na mgogoro wa kifamilia.

Back to Home
Kisa, mgogoro wa kifamilia, adaiwa kujinyonga
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
