Loading trending stories…
Kitete, JKCI kushirikiana matibabu ya kibingwa ya moyo
Back to Home

Kitete, JKCI kushirikiana matibabu ya kibingwa ya moyo

Mwananchi 10 minutes 1 mins read
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora Kitete imeingia makubaliano na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya kuanzisha na kuimarisha huduma za matibabu ya magonjwa ya moyo hospitalini hapo, hatua inayolenga kusogeza huduma hizo karibu zaidi na wananchi.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.