Loading trending stories…
Kumbukumbu ya Coyote Arusha kufutwa na maghorofa
Back to Home

Kumbukumbu ya Coyote Arusha kufutwa na maghorofa

Mwananchi about 3 hours 1 mins read
Nyumba ya wageni ya Coyote, iliyokuwa ikitoa huduma za malazi kwa gharama nafuu katikati ya Jiji la Arusha, inatarajiwa kuondolewa kufuatia mpango wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wa kubomoa jengo hilo na kujenga majengo mapya ya kisasa kwa ajili ya shughuli za kibiashara.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.