Loading trending stories…
Lissu kutangaza kugoma kula, kudai haki ya faragha gerezani
Back to Home

Lissu kutangaza kugoma kula, kudai haki ya faragha gerezani

Mwananchi about 4 hours 1 mins read
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, anatarajia kuanza mgomo wa kula na kuacha kutumia dawa anazotumia kutokana na matatizo yake ya kiafya kuanzia kesho akipinga kile chama hicho inadai kuwa ni ukiukaji wa amri ya Mahakama Kuu kuhusu haki yake ya kuzungumza na mawakili wake kwa faragha akiwa Gereza la Ukonga.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.