Mabunge ya nchi za ukanda wa Maziwa Makuu yametakiwa kuondoa vikwazo vinavyowazuia wanawake kushiriki kikamilifu katika uamuzi wa kisiasa, ujenzi wa amani na usimamizi wa rasilimali za nchi zao, badala ya kuwapa nafasi za uwakilishi zisizoambatana na mamlaka ya kushawishi uaamuzi.

Back to Home
Mabunge Afrika yatakiwa kuwapa wanawake nguvu ya uamuzi
Mwananchi about 3 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
