Baadhi ya madereva wa daladala katika Manispaa ya Morogoro wamegoma kutoa huduma ya usafiri kwa zaidi ya saa moja, wakipinga kuhamishiwa Stendi ya Soko la Fire, wakidai haina nafasi na haikidhi vigezo vya kuwa stendi.

Back to Home
Madereva wa daladala Morogoro wagomea stendi mpya
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
