Loading trending stories…
Mafuriko yalivyoziacha kaya 45 Nzovwe bila makazi
Back to Home

Mafuriko yalivyoziacha kaya 45 Nzovwe bila makazi

Mwananchi about 5 hours 1 mins read
Wananchi wa Kata ya Nzovwe jijini Mbeya wamesimulia hali ngumu waliyopitia baada ya nyumba 20 zenye kaya 45 kuathiriwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyonyesha Novemba 3, 2026 na kuwaacha bila makazi wala huduma muhimu.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.