Loading trending stories…
Magereza kuboresha huduma za afya, yaandaa mpango wa bima kwa wafungwa
Back to Home

Magereza kuboresha huduma za afya, yaandaa mpango wa bima kwa wafungwa

Mwananchi 10 minutes 1 mins read
Jeshi la Magereza Tanzania limeanza kuandaa utaratibu wa kutumia bima ya afya kwa wafungwa na mahabusu ili kupunguza gharama za matibabu, madeni yanayotokana na huduma hizo na kuboresha upatikanaji wa huduma za afya ndani ya vituo vya magereza nchini.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.