Loading trending stories…
Mahakama yafuta fidia ya Sh67.8 milioni kwa watatu, hoteli Marumbi
Back to Home

Mahakama yafuta fidia ya Sh67.8 milioni kwa watatu, hoteli Marumbi

Mwananchi about 1 hour 1 mins read
Mahakama ya Rufani ya Tanzania imebatilisha hukumu ya Mahakama Kuu Zanzibar iliyoiamuru Hoteli ya Marumbi Paradise Beach Resort kuwalipa watu watatu fidia ya Sh67.89 milioni kwa madai ya mali zao kuteketea kwa moto, baada ya kubaini kuwa uzembe wa hoteli hiyo na thamani ya hasara havikuthibitishwa kwa ushahidi wa kutosha.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.