Loading trending stories…
Mahakama yaisimamisha kamati ya mawakili kusikiliza shauri linalomkabili Mwabukusi
Back to Home

Mahakama yaisimamisha kamati ya mawakili kusikiliza shauri linalomkabili Mwabukusi

Mwananchi about 1 hour 1 mins read
Mahakama Kuu, Masjala Kuu Dodoma, imeiamuru Kamati ya Kitaifa ya Mawakili kusimamisha mwenendo wa shauri la maadili linalomkabili Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, kusubiri uamuzi wake kuhusu kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Mwabukusi kupinga shauri hilo.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.