Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Tabora, imewaachia huru Hamisi Kusailwa, Kulwa Masanja na Mayunga Shija, waliokuwa wakikabiliwa na shtaka la kumuua Dase Kusailwa, baada ya kubaini mapungufu katika ushahidi uliowasilishwa na upande wa mashtaka.

Back to Home
Mahakama yawaachia huru watatu kesi ya mauaji Nzega
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
