Loading trending stories…
Majanga ya tabianchi yakatiza elimu ya watoto milioni 171
Back to Home

Majanga ya tabianchi yakatiza elimu ya watoto milioni 171

Mwananchi 21 minutes 1 mins read
Majanga ya tabianchi yamekatiza masomo ya zaidi ya wanafunzi milioni 171 duniani mwaka 2025, yakitishia maendeleo yao kielimu na fursa za ajira na mapato ya baadaye, huku wasichana wakiwa katika hatari kubwa zaidi ya kuacha shule.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.