Idadi ya wajawazito wanaobainika kuwa na malaria wanapohudhuria kliniki kwa mara ya kwanza imepungua kutoka asilimia 7.7 mwaka 2020 hadi asilimia 3.9 mwaka 2025, huku matumizi ya dawa kinga, vyandarua vyenye viuatilifu na huduma za mapema yakitajwa kuchangia mafanikio hayo.

Back to Home
Malaria kwa wajawazito yashuka Tanzania, sababu zatajwa
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
