Loading trending stories…
Mama na baba lishe waomba eneo maalumu Mji wa Serikali Dodoma
Back to Home

Mama na baba lishe waomba eneo maalumu Mji wa Serikali Dodoma

Mwananchi about 1 hour 1 mins read
Mama na baba lishe mkoani Dodoma wameiomba Serikali kuwatengea eneo maalumu la kufanyia biashara ya chakula katika Mji wa Serikali Mtumba, wakisema hatua hiyo itawawezesha kunufaika na fursa za kiuchumi zitakazotokana na uwepo wa watumishi, viongozi na wageni.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.