Loading trending stories…
Mama wa pacha wanne Geita aomba msaada wa malezi
Back to Home

Mama wa pacha wanne Geita aomba msaada wa malezi

Mwananchi about 3 hours 1 mins read
Gharama za maziwa mbadala, matibabu na mahitaji ya watoto wachanga zimekuwa changamoto kwa Kefrine Mhande, mkazi wa Kata ya Nyamalimbe, Wilaya ya Geita, aliyejifungua watoto pacha wanne na sasa anaomba msaada wa Serikali na wadau.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.