“Nilipozinduka, nilijikuta hewani.” Hiyo ni sehemu ya simulizi ya Josimar Medina, raia wa Peru mwenye umri wa miaka 31, aliyenusurika ajali ya treni ya mwendo kasi iliyoua watu 68 na kujeruhi wengine nchini Hispania.

Back to Home
Manusura ajali ya treni Hispania asimulia alivyojikuta amerushwa hewani
Mwananchi 20 minutes 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
