Maofisa na wataalamu wapatao 1,200 wa rasilimali watu kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika wanatarajiwa kukutana Zanzibar kujadili matumizi ya Akili Unde (AI) katika kuboresha utendaji na kuimarisha usimamizi wa rasilimali watu katika sekta ya umma.

Back to Home
Maofisa rasilimali watu 1,200 wa Afrika kukutana Zanzibar kujadili AI
Mwananchi about 3 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
