Washtakiwa watano kati ya tisa wanaokabiliwa na mashtaka 26 ya uhujumu uchumi, yakiwemo kujipatia Sh85.2 milioni kwa njia ya udanganyifu kwa ahadi ya kutoa leseni za kumiliki silaha, wameiandikia barua Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania (DPP), wakiomba kukiri mashtaka yao na kupunguziwa adhabu.

Back to Home
Maofisa wa zamani wa Polisi wamwomba DPP wapunguziwe adhabu
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
