Maonyesho ya Tano ya Kitaifa ya Shirika la Maendeleo ya Viwanda Vidogo (Sido) yanayoendelea wilayani Kahama, mkoani Shinyanga, yameendelea kuwa fursa kwa wajasiriamali wadogo na wa kati kutoka ndani na nje ya nchi kutangaza bidhaa zao na kutafuta masoko.

Back to Home
Maonyesho ya Sido yafungua soko kwa wajasiriamali
Mwananchi 10 minutes 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
