Loading trending stories…
Marekani yafuta picha mkutano wa G-20, Afrika Kusini yakosa mwaliko
Back to Home

Marekani yafuta picha mkutano wa G-20, Afrika Kusini yakosa mwaliko

Mwananchi about 2 hours 1 mins read
Mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa kundi la nchi 20 zenye uchumi mkubwa duniani (G-20) umeingia katika mvutano wa kidiplomasia baada ya Marekani kufuta picha ya pamoja iliyokuwa imepangwa kufungua mkutano huo, kufuatia upinzani wa nchi kadhaa kushiriki picha moja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergei Lavrov.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.