Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) imeendelea na kazi ya matengenezo kinga katika bomba kuu la inch 72 katika eneo la mto Mpiji, Wilaya Kinondoni lilopelekea upungufu wa huduma ya maji kwa wakazi wa ukanda wa Bagamoyo hadi Ilala kwa kiwango cha asilimia 60.

Back to Home
Matengenezo bomba kubwa Mpiji yafikia asilimia 80
Mwananchi about 3 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
