Serikali imesisitiza umuhimu wa nchi mbalimbali kuimarisha ushirikiano wa kisayansi ili kupata suluhisho la pamoja la kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, ikisema changamoto hiyo haiwezi kutatuliwa na nchi moja pekee.

Back to Home
Mbarawa: Sayansi iwe msingi wa sera za tabianchi
Mwananchi about 3 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
