Wananchi wa Mtaa wa Inolo na Uyole jijini Mbeya, wameanza kunufaika na huduma ya maji safi na salama kwa mkopo, baada ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jijini Mbeya (Mbeya UWSA) kuanza kuwaunganishia huduma hiyo kwa utaratibu unaowawezesha kulipa gharama kwa awamu ndani ya miezi mitatu.

Back to Home
Mbeya UWSA yaanza kuunganisha maji kwa mkopo
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
