Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, ametoa maagizo kwa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kuhakikisha wagonjwa wote wanaofika hospitalini hapo wanapokelewa vizuri, wakihudumiwa kwa heshima bila kufokewa, kuanzia getini hadi wanapokutana na wataalamu wa afya.

Back to Home
Mchengerwa aagiza wagonjwa Mloganzila kupokelewa ‘kibosi’, uchunguzi wa bima
Mwananchi about 3 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
