Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, ametoa maagizo kwa Bodi ya Ushauri ya Wizara kwa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), ikiwamo kupanua huduma za udhibiti kwa kufungua ofisi za mikoa nchi nzima na kuimarisha ukaguzi wa dawa na vifaa tiba vinavyouzwa sokoni.

Back to Home
Mchengerwa: Dawa zisizosajiliwa zisilipwe na bima, TMDA ifungue ofisi mikoa yote
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
