Loading trending stories…
Mchengerwa: Ubora wa dawa hautashushwa kwa ajili ya uwekezaji
Back to Home

Mchengerwa: Ubora wa dawa hautashushwa kwa ajili ya uwekezaji

Mwananchi about 2 hours 1 mins read
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa amesema Tanzania haitakubali viwango vya dawa kuhatarishwa kwa sababu ya kutafuta wawekezaji wa viwanda vya kuzalisha dawa na vifaatiba nchini, akisisitiza kuwa mwekezaji lazima azingatie viwango vinavyotakiwa, ikiwamo vile vya Shirika la Afya Duniani (WHO).

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.