Maisha ya mwanadamu yamejaa changamoto mbalimbali ambazo wakati mwingine humfanya akate tamaa, ajiulize maswali mengi na hata kuhisi kana kwamba Mungu amemsahau. Kuna watu wanapitia magonjwa, kukataliwa, kufukuzwa, umaskini na hali nyingine ngumu zinazoweza kubadili kabisa mwelekeo wa maisha yao.

Back to Home
Mchungaji: Katika kila pito limo kusudi jema la Mungu
Mwananchi 35 minutes 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
