Jeshi la Polisi mkoani Geita linamshikilia Verediana Levee, mfanyakazi wa ndani, kwa tuhuma za kumuua William Mathayo, mwenye umri wa miaka mitano, aliyekuwa mtoto wa mwajiri wake.

Back to Home
Mfanyakazi wa ndani ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua mtoto wa mwajiri wake
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
