Polisi Mkoa wa Kilimanjaro wanamshikilia mwanamume mmoja, mkazi wa Kijiji cha Kisale, Wilaya ya Rombo, kwa tuhuma za kumuua mpwa wake, Charles Mwenesi (31), huku chanzo cha tukio kikitajwa kuwa mgogoro wa ardhi.

Back to Home
Mgogoro wa ardhi wadaiwa kusababisha mauaji ya mpwa Rombo
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
