Mgombea ubunge wa Jimbo la Chamwino kupitia Chama cha Wakulima (AAFP), Exavery Mapunda, ameahidi kutatua changamoto zinazowakabili wakulima, zikiwamo ucheleweshaji wa malipo ya mazao na migogoro ya ardhi kati ya wakulima na wafugaji.

Back to Home
Mgombea wa AAFP, aahidi kutatua kero za wakulima Chamwino
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
