“A luta continua,” mapambano yanaendelea. Kauli hiyo iliyohusishwa na aliyekuwa Rais wa kwanza wa Msumbiji, Samora Machel, imeendelea kuwa alama ya mapambano ya uhuru na mshikamano wa watu wa kusini mwa Afrika, miaka 40 tangu kiongozi huyo afariki dunia katika ajali ya ndege.

Back to Home
Miaka 40 tangu kifo cha Machel, kauli ya “A luta continua” yaendelea kuishi
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
