Jumla ya migogoro 21 ya ndoa imeripotiwa katika vituo vya polisi mkoani Mwanza kuanzia Oktoba Mosi hadi 23, mwaka huu, huku wivu wa mapenzi, usaliti na changamoto za kiuchumi zikitajwa miongoni mwa sababu zinazochangia migogoro hiyo.

Back to Home
Migogoro 21 ya ndoa yaripotiwa ndani ya siku 23 Mwanza
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
