Loading trending stories…
Moshi: Walalamikia uhaba wa maji, wanunua ndoo Sh1,000
Back to Home

Moshi: Walalamikia uhaba wa maji, wanunua ndoo Sh1,000

Mwananchi about 2 hours 1 mins read
Baadhi ya wananchi wa kata za Longuo B, Msaranga na Ng’ambo, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wamelalamikia kukosekana kwa maji safi na salama kwa siku kadhaa hali inayowalazimu kununua ndoo moja kwa Sh500 hadi Sh1,000 ili kukidhi mahitaji ya kila siku.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.