Maduka 20 kati ya 64 yameteketea kwa moto katika Stendi Mpya ya Buza kwa Mama Kibonge, Wilaya ya Temeke, asubuhi ya Oktoba 25, 2026, siku moja baada ya moto mwingine kuteketeza vibanda 26 katika Soko la Veterinary wilayani humo.

Back to Home
Moto wateketeza maduka 20 stendi mpya ya Buza Dar
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
