Vibanda 26 kati ya 230 vilivyopo katika Soko la Veterinary, Temeke, vimeteketea kwa moto usiku wa kuamkia Oktoba 24, 2026, huku wafanyabiashara walioathirika wakikabiliwa na hasara baada ya mali zao kuteketea.

Back to Home
Moto wateketeza vibanda 26 soko la Veterinary Dar
Mwananchi 21 minutes 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
