Mpelelezi wa kesi ya shambulio la kudhuru mwili inayomkabili daktari wa binadamu, Conrad Kahyoza; Koplo Samwel ameieleza Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kuwa mshtakiwa huyo alikiri kutenda kosa la kumshambulia askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani (trafiki) F.8886 Sajenti (Sgt) Andrew.

Back to Home
Mpelelezi adai DK Kahyoza alikiri kosa kumshambulia trafiki
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
