Mwenyekiti mpya wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Wakili Danford Mpelumbe, ameahidi kutekeleza majukumu ya taasisi hiyo kwa weledi, ufanisi na bila upendeleo, akisema uongozi mpya umejipanga kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.

Back to Home
Mpelumbe: Nitatekeleza majukumu ya taasisi kwa weledi, ufanisi bila upendeleo
Mwananchi about 3 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
